1n 1 alama; doa a ~ on the face alama usoni a ~ on the shirt doa kwenye shati. 2 dalili, ishara. 3 maksi. give somebody/get/gain good/bad ~ pa/maksi nzuri/mbaya. 4 shabaha. be/fall wide of the ~ kosa; kosea. hit/miss the ~(fig) patia/kosea. easy ~(colloq) mtu anayedanganyika kwa urahisi. beside the ~ haihusiki/haimo. 5 umashuhuri. make one's ~ -wa mashuhuri. 6 the ~n kiwango; kawaida not be/feel (quite) up to the ~ -tojisikia vizuri. be up to/below the ~ fikia/-tofikia kiwango. 7 mkato (ufanywao na mtu asiyejua kusoma na kuandika) badala ya saini. 8 (athletics) mstari (wa kuanzia mashindano) on your ~ s kwenye mstari. 9 (with numbers) alama ya kuonyesha aina ya chombo. vt 1 ~ something on/with something; ~ something down/up tia alama; piga chapa. mark-upn ongezeko la bei. ~ing-inn wino wa kutilia alama (usiofutika). 2 (passive) -wa na alama (ya asili/ inayoonekana) a zebra is ~ed by stripes pundamilia ana mistari. 3 toa maksi; sahihisha. 4 tia alama ya pata/ kosa. 5 zingatia, angalia. 6 ~ my words zingatia maneno yangu. a ~ed man mtu anayeangaliwa kwa jicho baya. 7 -wa kitambulisho cha; onyesha. 8 -wa dalili ya, ashiria. 9 ~ time chapa miguu; (fig) subiri (mpaka hali itakapo ruhusu kuendelea). 10 (use with adverbial particles)~ something off weka alama juu ya kitu (kuonyesha mipaka, vipimo n.k.). ~ something out tia mipaka ya kitu. ~ somebody out for something amua tangu mapema kumpa mtu kitu/cheo n.k. ~ edadj dhahiri, wazi. markedlyadv. markingn(esp) madoadoa (ya manyoya, ngozi). ~rn 1 mtu au chombo kitiacho alama. 2 mtu anayerekodi pointi/magoli/alama mchezoni. 3 alama ya bendera/jiwe n.k. lionyeshalo masafa. 4 msahihishaji.