marine

adj 1 -a bahari, -a baharini; -a mambo ya bahari ~ painter mchoraji picha za baharini. 2 -a meli; -a majini; -a biashara ya baharini ~ insurance bima ya meli na mizigo. n 1 askari wa manowari. 2 (shipping) merchant/mercantile ~ n jamii ya marikebu/meli zote za taifa fulani. 3 ~ corps jeshi la wanamaji. the M~s n jeshi zima la wanamaji. tell that to the ~s acha uongo! waeleze watoto. marina n bandari, mapumziko/starehe (ya ngarawa za kujifurahishia). maritime adj -a bahari, -a ubaharia; -a pwani, iliyo pwani. mariner n baharia, mwanamaji (hasa anayesaidia kuongoza meli). master ~ n nahodha (wa meli ya biashara).