margin

n 1 ukingo, ubavu, pembeni. 2 (of book, writing) pambizo, nafasi (ya kandoni). 3 (extra amount) ziada. 4 sehemu/eneo karibu na mpaka/ kikomo/mwisho. escape something by a narrow ~ ponea chupu chupu. 5 tofauti baina ya bei halisi na bei ya kuuzia kitu; faida ya muuzaji. vt eleza pembeni. marginal adj -a pembeni. ~al land ardhi isiyo na rutuba. ~al seat/constituency n kiti cha ubunge ambapo Mbunge alimzidi mpinzani wake kwa kura chache.