march

March

1 n Machi: mwezi wa tatu.

march

2 vi,vt 1 tembea/enda kama askari Quick ~! mbele tembea! ~ing orders n amri ya kwenda maneva, vitani n.k.; (fig) kufukuzwa. ~ out toka (hasa kwa kususa/ kukasirika). 2 peleka. n 1 mwendo wa kijeshi. a ~ past n gwaride. steal a ~ on somebody wahi mtu. on the ~ kwenda kama askari. a line of ~ njia inayofuatwa na askari. a forced ~ kutembea kwa haraka na dharura. 2 mwendo; safari. 3 (time) matukio. the ~ of events matukio; maendeleo ya mambo. 4 wimbo/muziki wa kijeshi. marcher n.

march

3 n (usu pl) (hist) mpaka wa nchi (hasa baina ya Uingereza na Uskoti au Walesi); eneo linalogombaniwa vi ~ upon/with (arch) pakana.