manufacture

vt 1 tengeneza, zalisha (katika kiwanda). 2 tunga, buni. n 1 utengenezaji; uzalishaji. 2 (pl) vitu vilivyotengenezwa/zalishwa kiwandani. ~ r n mtengenezaji; mwenye kiwanda.