manner

n 1 njia; jinsi, namna. (as) to the ~ born fanya jambo kama mtu amezaliwa nalo. 2 (sing only) mwenendo. 3 (pl) tabia, adabu. comedy of ~s mchezo wenye kichekesho kuhusu tabia za (sehemu fulani ya) jamii; dhihaka (ya tabia/ desturi). 4 (literature/art) mtindo. 5 aina, namna. all ~ of kila aina ya. by no ~ of means kwa vyovyote vile. in a ~ kwa namna/kiasi fulani. in a ~of speaking kwa namna fulani. mannered adj 1 (in compounds) ill ~ed adj -enye tabia mbaya. well ~ ed adj -enye tabia nzuri. 2 -enye kuonyesha upekee. mannerism n 1 upekee (kitabia/mazungumzo). 2 mtindo (unaotumika mno) maalumu katika sanaa/fasihi. mannerly adj -enye adabu njema, -enye heshima.