manna

n 1 (Bible) mana: chakula walichopewa Wayahudi walipokuwa jangwani. 2 (fig) kitu kinachotolewa/patikana bila matarajio; kiburudisho cha roho kisichotarajiwa.