manifest

adj dhahiri, wazi, bayana. vt onyesha, toa wazi; dhihirisha; baini ~ oneself jidhihirisha, jionyesha, jitokeza n orodha ya shehena melini. manifestation n 1 onyesho, kufunua, kutoa wazi. 2 dalili, alama. ~ ly adv. manifesto n manifesto: hati/ilani ya kutangaza sera, kanuni n.k.