mania

n 1 wazimu. 2 ~ (for) moyo wa kupenda sana; shauku kubwa, ushabiki mkubwa he has a ~ for dancing anapenda sana kucheza dansi. maniac n. maniacal adj. manic-depressive adj,n (mtu) anayefurahi na kuhuzunika kupita kiasi.