mandate

n 1 amri, agizo; hukumu. 2 uwakili; mamlaka. 3 udhamini ~; government serikali ya udhamini. vt weka chini ya udhamini (wa). mandated adj 1 see mandate. 2 (of country) -a kudhaminiwa. mandatory n mtu, nchi iliyopewa uwakili, mamlaka, agizo au amri adj -a lazima mandatory injunction amri ya kutenda; amri ya kulazimisha/lazima.