mandarin

n 1 (hist) afisa wa juu katika serikali ya China. 2 Kichina sanifu. 3 mrasimu; kiongozi (agh mpinga maendeleo). 4 ~ duck n bata mdogo wa China. ~ orange n chenza; kangaja.