malthusianism

n nadharia ya Malthus (kuwa idadi ya watu inaongezeka haraka zaidi kuliko uzalishaji mali).