malign

adj (of things) -a kudhuru. vt singizia; sengenya; kashifu. malignancy n 1 hali ya kuwa na uovu, ubaya, chuki. 2 (of disease) dhara; donda ndugu. malignity n chuki kuu, uovu mkuu. ~ ant adj 1 (of persons) -enye nia mbaya. 2 (of diseases) -enye kudhuru/kuua ~ant disease ugonjwa unaoelekea kuleta kifo. malignantly adv.