majority
n 1 wingi, zaidi ya nusu. 2 a/ the ~ (of) walio wengi ~ judgement hukumu ya wengi. be in the ~ -wa zaidi ya nusu. a ~ verdict n uamuzi wa wengi. 3 (full age) umri wa utu uzima. attain one's ~ fikia utu uzima kisheria; pata umeja (cheo cha meja).