maintenance

n 1 kukimu; matengenezo. maintenance order n (leg) amri ya kukimu mke, mtoto au mume (itolewayo na mahakama). maintenance gang/men n kikosi cha kufanya matengenezo ya barabara. retail price maintenance n udumishaji bei za rejareja.