1adj(attrib only) 1 kuu ~ road barabara kuu ~idea wazo kuu, muhimu. 2 -ote, kubwa. do something by ~ force fanya jambo kwa nguvu zote. 3 (compounds)~ deckn sitaha kuu. mainlandn bara Tanzania~land Tanzania bara. ~ mastn mlingoti mkuu. ~ springn spiringi kuu; kamani ya saa; (fig) kiini, chanzo hasa cha jambo. ~ stayn kamba itokeayo kwenye mlingoti mkuu hadi kwenye mlingoti wa mbele; (fig) tegemeo kuu, nguzo. ~ streamn mwelekeo tawala, mawazo ya walio wengi. mainlyadv kwa kiasi kikubwa, hasa.
main
2n 1 (oftenthe ~s) bomba kuu (la maji, gesi); njia kuu ya umeme; bomba/mfereji mkuu wa maji machafu. ~ s setn redio ya umeme. 2 in the ~ kwa kiasi kikubwa, kwa jumla, aghalabu. 3 (poet) bahari.