1n 1 barua za posta. ~ bagn mfuko wa barua za posta. ~ boatn meli ya barua. ~ boxn (USletterbox) sanduku la posta. ~ mann mtu anayepeleka barua. ~ ordern ununuzi kwa posta. ~ trainn gari moshi lenye behewa la posta. 2 posta. vt peleka kwa posta, postia. ~ing listn orodha ya watu wanaopelekewa matangazo n.k.
mail
2n(arch) daraya, nguo za pete za chuma. the ~ed fistn (tishio la) wanajeshi.