maid

n 1 mwanamwali, mwali, bikira. old ~ n mwanamke asiyeolewa. ~ of honour n mtumishi wa malkia au binti yake; mpambe wa Malkia/Bibi arusi; matroni. 2 (arch poet) msichana. 3 (house servant) mtumishi mwanamke. maiden n 1 (arch or poet) msichana, binti. 2 mwali, mwanamwali. 3 (hist) mashine ya kukata shingo adj 1 -a msichana/-a mwanamwali. 2 -a kwanza. ~en name n jina la ukoo (kabla ya kuolewa). ~en speech n hotuba ya kwanza Bungeni (kwa/Mbunge mpya). 3 -a bikira. 4 (compounds) ~en head n ubikira. ~en like; maidenly adj -a kibinti; -enye adabu, pole, tulivu.