magnet

n 1 sumaku. 2 (fig) mtu/kitu kinachovutia. magnetic adj 1 -a sumaku. ~ic pole n ncha sumaku. ~ic field n ugasumaku. ~ic North n Kaskazini kisumaku. ~ic tape n ukanda/utepe wa sumaku. 2 -enye nguvu ya kuvuta. magnetism n 1 nguvu ya sumaku; usumaku. 2 (fig) nguvu ya kuvuta; mvuto. magnetize vt tia sumaku; (fig) vuta (kwa ajili ya tabia, akili n.k.).