mad

adj 1 -enye wazimu, -enye kichaa. go ~ shikwa na wazimu, rukwa na akili. drive somebody ~ sumbua sana mtu a bit ~ punguani. as ~ as a hare/hatter kichaa kabisa. 2 -enye kutaharuki/jazba, -liojaa shauku, -enye mhemko. be/go ~ taharuki, hamaki, chukia sana. like ~ sana sana, mno. be ~ about somebody penda sana mtu. 3 -enye kukasirika, -enye hasira. be ~ about something kasirikia kitu/jambo. madcap n mtu mwenye harara. ~ house n hospitali ya wendawazimu; (fig) ghasia nyingi, vurumai. ~ man/woman n mwendawazimu. madly adv kwa hasira nyingi, kwa wazimu. (colloq) ~ ness n wazimu; ujinga. madden vt tia wazimu, kasirisha sana; kera sana.