n 1 mashine, mtambo; (sewing) cherahani. 2 kikundi kinachoongoza chama cha siasa. 3 (of person) mtu atendaye bila kufikiri. ~ -gunn bombomu. machine-madeadj -liotengenezwa kwa mashine. ~ tooln mashine ya samani. vt endesha mashine, fanya kitu kwa kutumia mashine. machinistn mtengeneza mashine, mwangalizi wa mashine. machineryn 1 sehemu au vyombo vya mashine kwa jumla. 2 utaratibu (k.m. wa serikali, chama n.k.), urasimu.