métier

n kazi/weledi/shughuli (inayomfaa hasa mtu); ubingwa wa mtu (katika kazi, biashara n.k.).