lyric

n 1 shairi la hisia. 2 (pl) maneno ya wimbo. lyrical adj 1 -a shairi la hisia. 2 -enye kusisimka, -liojaa shauku. lyricist n mtunzi wa (maneno ya) nyimbo.