lunar

adj 1 -a mwezi a ~ month mwezi unaofuata kuandama kwa mwezi. 2 -a umbo la mwezi mwandamo. ~ module n njia ya chombo kinachozunguka na kutua mwezini. ~ orbit n kuzunguka mwezi.