lunacy

n 1 wazimu, kichaa, umajinuni. 2 (pl) matendo ya kichaa. lunatic n kichaa, majinuni. lunatic asylum n hospitali ya kutibu vichaa adj -enye kichaa. lunatic fringe n kundi la watu wachache wenye siasa/mawazo makali, wenye vitendo vya ajabu.