lull

vt, liwaza, bembeleza, tuliza. n utulivu. lullaby n wimbo wa kubembeleza mtoto; sauti nyororo zitokanazo na upepo au mawimbi.