lucid

adj 1 -a kufahamika kwa urahisi, wazi, dhahiri. 2 -enye akili timamu ~ interval wakati wa mzinduko. 3 (poet) -angavu, -eupe. lucidly adv. lucidity n uangavu, weupe, udhahiri.