lubricate

vt 1 lainisha, legeza kwa mafuta. 2 (fig) rahisisha kufanyika kwa jambo. lubricant n mafuta ya kulainisha. lubrication n kutia mafuta, ulainishaji.