low

adj 1 -a chini; fupi a ~range of hills vimilima vifupi. ~ shoe n kiatu kisicho cha mchuchumio. ~-lying land n nyanda za chini. 2 -a chini ya (usawa wa) kawaida. ~ tide/water n maji kupwa. ~-water mark n alama ya chini kabisa, mwisho mwa kupwa. be in ~ waters (fig) wamba. 3 (of sounds) -a chini ya pole; -a kunong'ona speak in a ~voice ongea kwa sauti ya chini; nong'ona. low-keyed adj (fig) -sio makeke. low-pitched adj (music) -a sauti ya chini. 4 (of people) -a tabaka duni/la chini; nyonge men of ~ birth watu wa tabaka duni. be brought ~ dhalilishwa. 5 shenzi ~ manners tabia za kishenzi. ~ life n maisha ya kishenzi. 6 dhaifu, nyonge he is in a ~ state of health afya yake imedhoofu. be in ~ spirits sononeka; -wa nyonge; -tochangamka. ~spirited adj. 7 (of a supply of anything) be/run ~ punguka, karibia kwisha, -wa haba food supplies are running ~ in this town, kuna uhaba wa chakula mjini hapa; -a kiasi kidogo, -dogo, a chini. 8 (of amounts) ~ prices bei za chini. ~ latitudes n latitudo karibu na Ikweta. have a ~ opinion of somebody -tomthamini. L~ church n waumini (wasiopenda utawala msonge na ulibwende katika kanisa). L~ churchman muunga mkono. 10 (phrases) bring/lay somebody/ something ~ dhoofisha; (bankrupt) filisisha; fedhehesha; dunisha. lie ~ (fig) kaa kimya; fichama. 11 (compounds) low-born adj -a koo duni. low-bred adj -enye tabia za kishenzi, -siostaarabika. lowbrow n adj (person) -siosomi, -siopendelea mambo ya kitaaluma, hasa sanaa. ~er case n (in printing) herufi ndogo. L~er Chamber/House n Bunge (la kutunga sheria). ~ comedian n chale kwenye kichekesho. ~ comedy n vichekesho. ~er deck n (in the navy) baharia wa kawaida. low-down adj (colloq) -a kishenzi, -a fasiki. give somebody/get the ~ down (on something/somebody) (colloq) toa/ fahamu siri juu ya jambo/mtu. lowlander n mkazi katika nyanda za chini. ~ lands n (pl) (maeneo yaliyo katika) nyanda za chini. L~ Latin n Kilatini kisichosanifu (kikilinganishwa na Kilatini kikongwe). L ~ Mass n Misa ndogo (agh. iendeshwayo bila ya nyimbo). L~ Sunday/Week n Jumapili na Wiki mara baada ya Pasaka. Lowermost adj -a chini kabisa. Lowness n. ~adv chini buy ~ and sell high nunua kwa bei ya chini uza kwa bei ya juu. n kitu, jambo, hali ya chini. lower vt,vi 1 shusha, teremsha; inamisha ~er a flag teremsha bendera. L~er away (naut.) teremsha/shusha (mtumbwi, nanga, tanga n.k.). 2 punguza ~ er the rent of a house punguza kodi ya nyumba. 3 ~er oneself -tojiheshimu, jishushia hadhi, jidhalilisha. 4 dhoofisha. lowly adj duni, -a hali ya chini. lowliness n.