lounge

vi kaa, simama (kwa kujiegemeza)/kivivu; jikalia, tandawaa. lounger n mtu akaaye/ asimamaye namna hii. n 1 kukaa/ kusimama kivivu. 2 ukumbi, sebule (agh. katika hoteli) wa kupumzika. ~ suit n suti (ya kiume). ~ chair n kiti cha kupumzikia. ~ lizard n (dated sl) mwanamme ambaye analipwa kwa kucheza dansi na wanawake kwenye mahoteli. ~-bar n baa nzuri katika nyumba ya vileo.