loud

adj 1 -enye sauti kubwa, -a makelele; -a kusikika kwa urahisi a ~ speech hotuba yenye kusikika kwa urahisi; kubwa. loud-hailer n kipaza sauti. loud-speaker n kipaza sauti, bomba. 2 (of behaviour, colours) -a kujitangaza, -a mvuto adv kwa sauti kubwa. loudly adv. loudness n.