lose

vt,vi 1 poteza ~a knife poteza kisu ~ weight konda. ~ one's cool (colloq) hamaki; haha. ~ in choka na, -tovutwa tena na. ~ one's reason/senses pata wazimu, pandwa na jazba. ~ one's temper kasirika. ~ A to B nyang'anywa/pokonywa A na B. 2 (passive) potea, -fa, they were lost in the forest walipotea msituni. be lost to -toathiriwa na kosa, -tosikia he is lost to shame hasikii, hana aibu. be lost in shikwa/jawa na (mawazo, mshangao n.k.) be lost in astonishment shangaa, shikwa na mshangao be lost in thought zama katika mawazo. 3 poteza. ~ one's place (in a book etc.) poteza. ~ oneself/one's way potea. ~ sight of sahau, -tozingatia, -toweza kuona he lost sight of the fact that alisahau kwamba. 4 chelewa. 5 kosa kuona/kusikia n.k. lost the last part of the speech sikusikia sehemu ya mwisho ya hotuba. 6 kosesha your obstinacy will ~ you your job ujeuri wako utakukosesha kazi yako. 7 shindwa we lost the match tulishindwa katika pambano a lost cause jaribio/tendo ambalo limeshindwa/litashindwa tu. (play) a losing game (cheza) mchezo wa kushindwa ~-out to rithiwa na. 8 ~ by/in/on something haribikiwa, pata hasara the story does not ~ in the telling hadithi haipotezi utamu katika kusimulia. 9 (of a watch etc.) chelewa, poteza majira. 10 poteza bure (muda, juhudi, nafasi n.k.) I shall ~ no time in doing it nitaifanya mara moja be lost on shindwa kushawishi/kuvutia my arguments were not lost on him hoja zangu zilimwingia. 11 ~ oneself in something (reflex) zamia, jisahau he lost himself in his work alijisahau katika kazi yake. loser n 1 mshinde. loss n kupotea; upotezaji; kupotewa loss of blood kupoteza damu loss of expectation of life kupoteza matazamio ya uhai loss of memory kupotewa na kumbukumbu we retired without loss of life tulirudi bila mtu kuuawa. 2 msiba; maangamizi. 3 hasara insure against loss katia bima za hasara total loss hasara tupu loss leader (comm) bidhaa inayouzwa kwa bei ndogo ili kuvutia wateja. 4 kukosa, kushindwa kupata the loss of a contract kukosa mkataba. 5 kipunguo, hasara be a ~ deal (of a person) -wa bure/hasara tupu. 6 (in expressions) be at a loss changanyikiwa, tatanika; -tojua (la kufanya/kusema).