lord

n 1 mtawala mkuu (wa kiume) our sovereign ~ and king mfalme mtawala wetu. 2 the L~ n Mungu, Mwenyezi Mungu, Mola; Bwana. L~! Good L~! L~ knows! Yarabi! Our L~'s Bwana Wetu Yesu Kristu the L~'s Day n siku ya Bwana, Jumapili. the L~'s Prayer n sala ya Bwana, Baba Yetu. L~'s Supper n Ushirika Mtakatifu. 3 (peer, nobleman) lodi, mwungwana; gabi. as drunk as ~ -liolewa chakari. House of L~s n Baraza la Malodi (Uingereza). 4 (in feudal times) bwana, mwinyi. 5 (joc,also ~ and master) mume; kiongozi wa tasnia the ~s of creation binadamu. 6 mtu mwenye cheo/madaraka. 7 Mheshimiwa. My ~ Mheshimiwa vt (chiefly in) ~ it over somebody tawala/ongoza kimwinyi. lordly adj 1 -a heshima; -a fahari. 2 (arrogant) -a kama mwinyi; -enye kiburi. lordliness n. lordship n 1 ~ over n utawala, miliki, mamlaka. 2 His/Your ~ship Mheshimiwa, Bwana.