loose

adj 1 (unfastened) -liofunguka, -lioachwa (huru), -lioachiwa. break/ get ~ funguka; jitoa kifungoni, toroka. let something ~ achia huru. loosebox n sehemu katika zizi/behewa ambayo humwezesha farasi kutembea tembea). looseleaf attrib adj (of a notebook) -siounganishwa, -siofungwa. 2 (not tight) -siokazwa, -a kupwaya, -liolegea a ~ tooth jino linalolegea. come ~ legea. have a screw ~ (colloq) fyatuka akili, -wa na kasoro kichwani. have a ~ tongue ropokaropoka. have ~ bowels endesha, harisha. ride with a ~ rein achia farasi huru; (fig) achia mtu (afanye apendavyo); (of a bolt etc) legea. 3 -siofungika vizuri. at a ~ end (fig of a person) -wa bila shughuli, kutojua la kufanya. 4 (of talk, behaviour etc). -potovu, -baya. (be) on the ~ -wa fisadi. play fast and ~ (with somebody) chezea, ghilibu, danganya. 5 -sio sahihi; - siofuata taratibu. 6 (of the human body) -sioshikana vizuri, -siopangwa vizuri. 7 -legelege, zembe. vt 1 legeza. 2 achia huru. vt,vi loosen (up) 1 fungua; fumua; legeza. 2 (of soil) chimbua, tifua.