loop

n 1 kitanzi, kishwara; (colloq) (contraceptive) kitanzi. 2 (also ~line) reli au waya wa simu wa mzingo. 3 mzingo (unaofuatwa na ndege au pikipiki) wenye umbo la kitanzi. 4 pindo katika herufi. vt,vi 1 piga kitanzi. 2 pinda ili kufanya umbo la kitanzi. loophole n 1 kitundu (cha kupenyezea bunduki, kuangalia, kupitishia hewa n.k.). 2 (way of escape) mwanya, njia ya kuokoka.