lone

adj 1 (attr only) -a pekee, -a kukaa peke yake. play a ~ hand (fig) fanya jambo pasipo msaada. lonely adj -pweke, bila rafiki, -a ukiwa feel ~ly jisikia upweke. 2 pweke, -siotembelewa mara kwa mara. loneliness n upweke. ~ some adj pweke, -a ukiwa.