1n gogo la mti, kigogo like a ~ bila fahamu, bila kujitambua. sleep like a ~ lala fofofo. ~ cabinn nyumba ya magogo. ~ jamn mkwamo wa magogo yanayoelea majini; (US) mkwamo. ~ rollingn kuungana mkono. loggingn ukataji miti.
log
2n 1 kipimamwendo wa meli baharini. 2 (alsologbook) batli: kitabu chenye habari zote za safari ya merikebu (meli). 3 kitabu cha safari za ndege, gari n.k.; (colloq) kitabu cha usajili wa motakaa. vt andika katika batli.