loft

loft

1 n 1 darini. 2 roshani (katika kanisa au ukumbi).

loft

2 vt (of golf, cricket) piga juu. lofty adj 1 (not used of persons) -a juu sana, -refu. 2 (of thoughts, aims, feelings etc.) -a fahari sana. 3 -a kiburi, -a kujidai, shaufu. loftily adv. ~ness n urefu, kiburi, ubora.