lodge

n 1 nyumba/chumba cha bawabu, mpagazi, n.k. 2 nyumba ya shamba. 3 (GB) makao ya mkuu wa chuo. 4 nyumba ya kukutania wanachama. vt,vi 1 pangisha mtu chumba cha kulala (kwa muda); weka (watu) kwa muda. 2 ~ at/with panga. lodging n (usu. pl.) 1 nyumba/chumba/vyumba vya kupanga kwa muda take lodgings panga (katika nyumba ya kupanga). I'm lodging here nimepanga hapa. 3 ~ in ingia; kwama; tia; kwamisha. 4 ~ a complaint (against somebody) shtaki, toa lalamiko dhidi ya ~ an appeal kata rufaa. 5 weka, tia. lodger n mpangaji wa muda take ~rs pangisha. lodging house n nyumba ya kupanga.