lode

n mstari, uzi wa madini ndani ya mawe; tabaka ya madini ardhini. lodestar n nyota iongozayo, nyota ya Kaskazini; (fig) mwongozo, kiongozi. lodestone n sumaku.