lock

lock

1 n 1 shungi la nywele. 2 pl. locks n nywele.

lock

2 n 1 kufuli, kifungio be under ~ and key fungwa kwa ufunguo. locksmith n mtengeneza makufuli. 2 (of a gun) mtambo. ~ stock and barrel n kitu kizima, zimazima; kabisa. 3 (of canal) mlango ~ chamber mlango/ chumba cha kuzuia maji. ~ keeper n mlinda lango (la mfereji). 4 hali ya kukwama, kushikamana. lockjaw n pepopunda. locknut n nati kifungo. 5 (motoring) mkato wa usukani. vt,vi 1 funga kwa ufunguo. ~ the stable door after the horse has bolted/has been stolen fanya tahadhari baada ya mambo kuharibika. ~ something away hifadhi kitu mahali pa salama; (fig) tunza/hifadhi (moyoni). ~ somebody in fungia mtu ndani. ~ somebody out fungia mtu nje; zuia mtu asiingie. ~ out n kufungia nje (kuzuia wafanyakazi wasiingie sehemu zao za kazi mpaka masharti fulani yatimizwe). ~ something/ somebody up fungia kwa ufunguo; funga nyumba n.k. (kwa funguo); tia mtu ndani; weka/wa na rasilimali isiyouzika kwa urahisi. lockup n korokoroni, mahabusi; (colloq) jela adj -enye kufungika kwa kufuli. 2 fungika. 3 funga; kwama. 4 fungamana. ~ on to (of a missile) tafuta na fuata (shabaha) kwa rada. locker n 1 kabati ndogo (agh. ya kuwekea nguo za michezo, kazi, n.k.). 2 kasha/chumba kidogo melini (cha kuhifadhia nguo, risasi, mavazi, n.k.). be in/go to Davy Jone's ~er zama baharini.