locate

vt 1 tambua/onyesha mahali pa ~ the industrial area on the map onyesha eneo la viwanda katika ramani. 2 weka mahali. 3 be ~d -wa/wekwa mahali. location n 1 mahali maalumu. 2 kuonyesha/ kutambua mahali. 3 mahali pa kupigia (sehemu ya) picha za sinema. 4 (South Africa) kitongoji (walikolazimika kuishi Waafrika). locative n, adj (gram) -a mahali.