local
adj 1 -a mahali maalum, -a mahali palepale. ~ colour n mambo ya kienyeji (yanayoongezwa katika hadithi ili kuipa ladha). ~ custom n mila ya mahali. ~ government n serikali ya mitaa ~ habitation makao, makazi. ~ option/veto n mfumo wa kukataza jambo kwa kupiga kura k.m. kukataza uuzaji wa pombe. ~ purchase order n dhamana ya ununuzi ~ relief not indicated by contours sura ya mahali ambayo haikuonyeshwa kwa kontua. ~ time n saa za mahali pale. 2 -a (kuathiri) sehemu ~ anaesthetic dawa ya ganzi n (usu. pl.). 1 mkazi wa mahali fulani, mwenyeji. 2 (colloq) kilabu, baa. 3 habari za mahali pale pale (katika gazeti). locally adv. locale n mahali; mandhari. localism n 1 kupendelea mambo ya mahali pake (mji, mkoa n.k.); fikra finyu (kutokana na kujua mambo ya mahali pake tu). 2 mbinu, nahau, matamshi (ya lahaja fulani). locality n 1 mahali. 2 (neighbourhood) janibu; mtaa. 3 (a sense) utambuzi wa mahali. localize vt fanya (kuwa) ya mahali fulani, weka/zuilia mahali maalum ~ the disease zuia maradhi katika eneo fulani tu. ~zation n.