lobby

n 1 sebule, ukumbi. 2 (division) ~ (in House of Commons) ukumbi wa mahojiano baina ya wabunge na watu wengine, ukumbi wa bunge; kikundi shawishi: kikundi kinachowashawishi wabunge juu ya mswada/sheria fulani. vt shawishi wabunge (ili kupigia au kutopigia kura mswada). lobbyist n mshawishi wabunge.