loath/loth

adj (pred only) ~ to do something -totaka kufanya jambo. nothing ~ adj -enye kutaka; kwa hiari be ~ for somebody to do something -tokubali mtu kufanya kitu. ~e vt chukia kabisa, zia I ~e him namchukia kabisa ~e doing something chukia kufanya kitu; (colloq) -topenda. ~ing n chuki; karaha. ~some adj -a kuchukiza, makuruhu.