load
n 1 mzigo, shehena; (fig) wajibu, madaraka makubwa (ya usimamizi au utunzaji wa jambo) a heavy ~ on one's shoulders madaraka makubwa aliyonayo mtu. take a ~ off somebody's mind ondolea mtu mashaka. ~s of (colloq) kiasi kikubwa, tele. ~ line n mstari wa ujazo/shehena ya meli. 2 kiwango cha kazi ifanywayo na dainamo, mota, injini n.k.; kiasi cha umeme kinachotolewa na jenereta. ~shedding n kukata umeme mahala fulani na kuupeleka unakohitajika zaidi. vt,vi 1 ~ something into something pakiza, sheheni, pakia. ~ somebody with something twisha, bebesha; (fig) lemeza. 2 (of a gun) tia risasi he ~ed him with favours alimtendea/alimsheheneza fadhili nyingi. ~ dice (against somebody) (fig) fanyia mtu jambo lisilokuwa na manufaa kwake a ~ed question swali lenye mtego. loaded adj (sl) -liojaa, -enye fedha nyingi. loader n. loading n upakiaji.