living

adj 1 hai, -zima not a ~ soul hakuna mtu yeyote. within ~ memory -enye kukumbukwa na watu walio hai. 2 (of a likeness) hasa, halisi she is the ~ image of her mother anafanana sana na mama yake. 3 -enye nguvu; hai, -enye kusisimua. the ~ n 1 (watu) wanaoishi/wazima the ~ and the dead wazima na wafu. n (conditions) hali za kuishi ~ standard kiwango cha maisha. 2 maisha; riziki. a ~ wage n mshahara wa kujikimu earn one's/make a ~ pata riziki. for ~ ili kupata riziki ~ costs gharama za maisha. ~ room n sebule, baraza good ~ maisha ya starehe, raha. 3 kazi na mshahara wa padri/mchungaji.