little
adj 1 -dogo; chache; haba the ~ finger kidole kidogo a ~ money pesa chache. 2 fupi a ~ sleep lepe la usingizi. 3 kijana a ~ boy mvulana mdogo the ~ ones watoto the ~ Nyereres Nyerere wadogo. the ~ people/folk n (esp. Ireland) vichimbakazi. 4 (to emphasize a feeling) -zuri she's a nice ~ thing ni kisichana kidogo kirembo her poor ~ efforts to please jitihada zake ndogo za kupendeza so, that's your ~ game ndiyo mchezo wako ehe! he knows his ~ ways anajua hila zake. 5 a ~ kidogo a ~ rice wali kidogo. not a ~ (euph) -ingi not a ~ trouble matatizo mengi. 6 (of a person) -dogo, -fupi a ~ man mtu mfupi. 7 (insignificant) -nyonge, hafifu, duni. 8 (of intelligence) pungufu n 1 kidogo. ~ by ~ kidogo kidogo take up ~ by ~ chota kidogo kidogo a ~ of everything kidogo kila kitu a ~ of this and a ~ of that kidogo hapa na kidogo pale a ~ makes us laugh hata jambo dogo linatuchekesha. ~ or nothing si chochote, kidogo sana he got a ~ of it alipatapata what ~ remained kidogo kilichobaki. (of time) after a ~ baadaye kidogo. for a ~ kwa muda mfupi adv 1 kidogo, punde a ~ complicated -a matatizo kidogo a ~ more bado kidogo ~ tired -enye kuchoka kidogo ~ more than a thief ni mwizi kweli. 2 (with verbs think, dream, suspect) ~ did I suspect sikushuku hata kidogo think~ of somebody dharau. littleness n 1 udogo. 2 unyonge, udhaifu, uhafifu, uduni.