litter

n 1 takataka. ~bin/~basket n pipa/kapu la takataka. ~ bug n; ~ out n (colloq) anayetupa takataka. 2 a ~ fujo, machafuko. 3 majani ya kulalia wanyama. 4 vitoto vyote vya uzazi mmoja (mkumbo mmoja); (pigs) vibwangala. vt,vi 1 ~ something (up) with something chafua, fuja; tia takataka. 2 ~ something (down) tandika majani chini. 3 (of animals) zaa.