litmus

n (chem) litmasi: dutu/utomvu wa zambarau (ambao hugeuka kibuluu kwa asidi na mwekundu kwa alkali). ~-paper n karatasi iliyopakwa litmasi.